Sodoku Myebusi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,319
- 3,004
Katika hii dunia kwa kweli kuna watu wanapenda kutoa lawama. Unakuta kuna mtu ni mlalamishi mpaka unashangaa.hii inakuaje?
Na wakati mwingine mwanaume kabisa anakuwa mlalamishi mpaka unajiuliza huu ni yeye kweli au ameshakuwa mtu mwingine?
Anyway mimi nawajua wabeba lawama pia. Nami nmeshabeba sana lawama. San. Tena toka kwa washkaji hata ndugu.sometimes unamsaidia anakuja kukuvesha lawama za kiduanzi tu hazina kichwa wala miguu. Mbele wala nyuma
Jamaa mmoja alikuja kuomba nimpeleke kwa Baba yangu mdogo tajiri mmoja nimuunganishe masuala ya kazi. Nikampeleka Ununio. Basi tukafika tukapewa juice tukawa tunaongea na tajiri.tukamaliza.wakati huo muda umeenda saa sita na nusu.
MI nilipoona tumemaliza issue ya msingi nikaaga ili usiku tusiuweke. Wakajaribu kutushawishi tubaki for lunch nikakataa. Tumetoka tupo garini naona jamaa amevuta mdomo na anasonya tu. Namsemesha hasemi. Nikawa na maswali mengi issue ni nini.
Basi nikaenda nika mdrop kwake.akashuka akabamiza mlango wa gari.baadaye nikapigiwa simu na jamaa yetu mmoja tulisoma naye shule. Akaanza kunambia nlimfanyie Zuber jambo baya sana. Nimempeleka kwa Baba yangu mdogo nimemwondoa kabla hajapiga msosi wa mchana. Analaumu sana kwa washkaji.kuwa nina roho mbaya sana na mchoyo.
Nilishangaa sana. Jamaa alikata na mawasiliano na mimi. Hata Ba mdogo alipokuja niambia kuwa kuna nafasi anaweza mpatia jamaa yangu kwenye Ofisi yao. Nikamwambia jamaa alishapata kazi tena Mkoani. Na nilikuwa najua jamaa yupo kitaa mpaka leo ila niliona jamaa ana ubwege flani hivi na udumavu wa akili.
Sasa nami nliwahi mlaumu mtu kwa suala la kijinga tu. Sisi binadamu wakati mwingine tukifail tunamtafuta wa kumwangushia jumba bovu. Jamaa nlimtembelea ofisini kwao nikamwona demu mkali nikachukua namba.sikumwambia jamaa yangu.
Siku mbili tatu nikalamba yule demu,pekululu tu sikutaka kula pipi ndani ya kifungashio. Basi muda si muda nikawa na feel maumivu flani nikikojoa.kwenda pima nina STD. Daaah....nlim mind sana jamaa kuwa alinikaribisha ofisini bila kunipa tahadhari kuwa mademu wa pale ni vicheche. Nikamlaumu sana kuwa vipi kama ingekuwa ni ngoma? Jamaa muuaji n.k yule jamaa yangu alijitetea kuwa hakuwa anajua lolote.
Hakujua kuwa nmechukua namba ya yule secretary wao. Nikamwambia tu alipaswa man to man aniambie niwe makini. Nikamlaumu sana na demu kuniambukiza ule ugonjwa.akajitetea baadaye akanichana kuwa niache utoto kwanza ni mimi mwenyewe nilitaka show. Hakujileta.akaniambia nimkome sana.tena nikomae hasa.na asinione tena ofisini kwao.
Nikakumbuka mwaka flani nlimaliza chuo nikawa sina kazi. Nlilaumu sana wazazi hawakunitafutia kazi. Nikawa hata nikiwaona home naenda room hasira zilikuwa zipo juu. Inakuje wamenisomesha na hawanitafutii kazi. Nililalamika kwa watu wote nlio wafahamu kuhusu jambo hilo.
Anyway sasa kama nawe una jambo la kulalamika au mtu wa kumlalamikia njoo tumbebeshe lawama. Inasaidia kupunguza machungu.
Ila pia unaweza kukumbuka ni wapi ulibebeshwa lawama hata huzielewi kichwa chake wala miguu ipo wapi. Hii dunia kuna watu walalamishi...acha kabisa.kuna watu walalamishi kama mwanamke alokosa mwana.