makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,620
- 5,260
Naanza na mbazi Arusha/dar.
Ili ndinga Kama ukifika stendi na kulikuta kwa jinsi linavyovutia lazima ulikimbilie.siku hiyo nikalipanda kutoka Arusha mpaka dar nikafika sa 5 usiku Kila kituo linapakia na linasimama.
Happy national hili ni la Bei kubwa nilipanda kutoka dar mwanza tukafika sa 9 usiku mwanza.ila kwenye huduma na uaminifu wako poa sana.
Al star,ebwana Kama una roho nyepeai achana nalo kabisa nilipanda mwanza to dar tukaingia sa 4.yani wale madereva kipaumbele Chao kuwahi kesho wageuke Kuna dogo mwarabu anagonga GIA utazani yupo kwenye rali.
Abood tunduma dar ili sio lakupanda Yani unaweza shuka ukakojoa na ukaliwai,Yani mwendo wa konokono tunduma dar siku 2.
Kuna hili sauli nalipenda Sana mwendo wao sio rafiki mwendo wa mibio ya kufa mtu.yani tulikuwa tunakimbizana Prado Stk Dfp,stj na zote tukaziacha nyuma Kila zikitupita ni sehemu za misosi ila jamaa wakianza kupiga gia tunazikuta njiani na tunaziacha.
Jee kwa wewe mdau ni bus gani uwezi kupanda na ni kwaajili gani karibu hapa tupeane uzoefu.