Uzi wa kupeana ma buse Bora na Bora nifike je tupande ma bus gani?

Uzi wa kupeana ma buse Bora na Bora nifike je tupande ma bus gani?

Kama umejichokea na maisha panda gari la "CLASSIC" dar to lubumbashi ....aiseee safar ni ya siku 2 na ila wanapiga gia kama rally.

amna tuta , amna kusimama ni kibati...yani hata abiria wa njiani linashusha huku linatembea taratibu ....mzeee ni hatar
 
Mimi binafsi ni Sauli team,Dar to Tunduma ndio bus ya uhakika, kwanza ipo on time, speed, reliable na madereva wake they real drive on our highway sio madereva wa Abood they just taking a bus for a walk ndani ya freeway!jana sisi member wa road trip nimepishana na Sauli za Tunduma/Mbeya kona za Iyovi saa 6mchana zikielekea nyanda za juu.
Kuna big wa new force naskia nae hatar Sana huyo jamaa.
 
Kama umejichokea na maisha panda gari la "CLASSIC" dar to lubumbashi ....aiseee safar ni ya siku 2 na ila wanapiga gia kama rally.

amna tuta , amna kusimama ni kibati...yani hata abiria wa njiani linashusha huku linatembea taratibu ....mzeee ni hatar
Hahahahaaa one day nitajalibu c tunduma inashusha hiyo
 
Sisi wa Songea to mwanza tunaruka na Zhong wenyewe wanaliita umeme, ndege ya ardhini
 
Back
Top Bottom