Uzi wa kupeana ma buse Bora na Bora nifike je tupande ma bus gani?

Kama umejichokea na maisha panda gari la "CLASSIC" dar to lubumbashi ....aiseee safar ni ya siku 2 na ila wanapiga gia kama rally.

amna tuta , amna kusimama ni kibati...yani hata abiria wa njiani linashusha huku linatembea taratibu ....mzeee ni hatar
 
Kuna big wa new force naskia nae hatar Sana huyo jamaa.
 
Hahahahaaa one day nitajalibu c tunduma inashusha hiyo
 
Sisi wa Songea to mwanza tunaruka na Zhong wenyewe wanaliita umeme, ndege ya ardhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ