Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

Wapi huko ?
Kiwanda kinaitwa sunbank Kiko Banda la ngozi
Bati za bundle upana 80 cm urefu 3m
Bei 22,000 (30g) (IT5 & CORROGATED)
Bati za vipimo (IT5 & CORROGATED)
30g upana 90cm 11,000
28g upana 90cm 13,500
Versatile ( muundo WA kigae)
30g upana 90cm 13,500
28g upana 90cm 15,000

Offer
Misumari 20 pc
Free transport
Warranty 10yrs
CONT 0685572320
 
Hiyo versatile unauza 13500 kwa mita au ?
 
Unaweza ukaenda nunua mwenyewe ukidhani umefanikisa ku-save ili hali mafundi huko site ka hakuna usimamizi mzuri wakakupiga mara mbili ya ulichodhania ume-save
Kwa hiyo mimi naona ni bora tusijenge kabisa.
 
Me tiles nauza aina zote..
Za box na reject
Kwa mfano..40*40 za box nauza 26500, 40*40 za reject ambzo ziko nje ya box nauza 22000
Za ukutani zenyewe unauzaje...I mean nzima na reject
 
Me tiles nauza aina zote..
Za box na reject
Kwa mfano..40*40 za box nauza 26500, 40*40 za reject ambzo ziko nje ya box nauza 22000
Mkuu hv chumba 12×12 feet kinweza kuingia tiles ngapi za 40×40
 
Me tiles nauza aina zote..
Za box na reject
Kwa mfano..40*40 za box nauza 26500, 40*40 za reject ambzo ziko nje ya box nauza 22000
40 x 40 zinazouzwa Kwa boksi ni kampuni gani? Na zinakaa ngapi? Kama bei iko juu vile mkuu.

Manake nimenunua recently (last week) box la 40 x 40 zinakaa 12 (Total SQM 1.92) Kwa bei ya TZS 22,000/- Kwa boksi, kampuni ya Goodwill.

Au siku hizi zimeshuka bei mwezi June ndio zilikua bei hiyo unayosema?
 
Floor tiles,

40 x 40 Goodwill,
Zinakaa 12 kwenye Box,
21,500/-
0784772061.

40 x 40 Twyfod,
Zinakaa 12 kwenye Box,
23,500/-
0622088300
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…