EE-Two
New Member
- Sep 19, 2022
- 4
- 3
Huyu Michael ni MTU mwaminifu na MTU wa kaziCement ya 42 ile kali inauzwa mtaani 17,500 na kuniletea mpaka home niongeze buku. Kuna jamaa nlimuona Facebook anajiita Michael Ngus aliniletea mpaka saiti Kwa 15,500 sharti tu uchukue kuanzia mifuko 100