EE-Two New Member Joined Sep 19, 2022 Posts 4 Reaction score 3 Jan 16, 2024 #161 Lady Ra said: Cement ya 42 ile kali inauzwa mtaani 17,500 na kuniletea mpaka home niongeze buku. Kuna jamaa nlimuona Facebook anajiita Michael Ngus aliniletea mpaka saiti Kwa 15,500 sharti tu uchukue kuanzia mifuko 100 Click to expand... Huyu Michael ni MTU mwaminifu na MTU wa kazi
Lady Ra said: Cement ya 42 ile kali inauzwa mtaani 17,500 na kuniletea mpaka home niongeze buku. Kuna jamaa nlimuona Facebook anajiita Michael Ngus aliniletea mpaka saiti Kwa 15,500 sharti tu uchukue kuanzia mifuko 100 Click to expand... Huyu Michael ni MTU mwaminifu na MTU wa kazi
Ally Abdulrahman Senior Member Joined Mar 28, 2015 Posts 194 Reaction score 312 Jan 18, 2024 #162 nyaiboko said: Chimbo la bati 30g upana 90cm/m Bei 11,000 Bati za bando 30g upana 80cm urefu 10ft Kwa 22,000 tu Click to expand... Kampuni gan hujasem
nyaiboko said: Chimbo la bati 30g upana 90cm/m Bei 11,000 Bati za bando 30g upana 80cm urefu 10ft Kwa 22,000 tu Click to expand... Kampuni gan hujasem
D Dodo Ntomombo Member Joined May 31, 2021 Posts 13 Reaction score 16 Jan 20, 2024 #163 ferg said: Granite bei gani 50×50 Click to expand... Mkuu,utofauti wa hizi bei ni nini,brand au ubora?
ferg said: Granite bei gani 50×50 Click to expand... Mkuu,utofauti wa hizi bei ni nini,brand au ubora?