Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Ngoja niwe namba moja kwa mara ya Kwanza.Mengine baadaye.Habari,
Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia.
Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi mambele mbele a.k.a duniani..
Tuambie upo chimbo gani na taratibu za kuingia kiwanja hicho.
Pia tuambie kama "boxi" linapigika na matumaini ya kipato kwenye chimbo hilo.
Nina imani uzi huu utafaidisha wengi..
Ahsante..
Mkuu sasa hivi wamebana ile mbaya tena zaid kutokana na ishu ya mpakani Belarus na Poland. Sasa hivi vyama vya siasa ulaya kwenye kampeni sera kubwa ni immigration jinsi ya kuidhibiti ndio njia pekee ya kupata kura na kushunda uchaguzi. Hii pia ilisababisha Brexit kushunda uingereza.Vipi kwa sasa Ujerumani kunaingilika???
Duh Ahsante kaka..Mkuu sasa hivi wamebana ile mbaya tena zaid kutokana na ishu ya mpakani Belarus na Poland. Sasa hivi vyama vya siasa ulaya kwenye kampeni sera kubwa ni immigration jinsi ya kuidhibiti ndio njia pekee ya kupata kura na kushunda uchaguzi. Hii pia ilisababisha Brexit kushunda uingereza.
Denmark sasa hivi wako na majadiliano na Paul Kagame kuwasafirisha wote waliomba na wanaoomba Asylum hifadhi ya ukimbizi kuwapeleka Rwanda kesi zao zishughulikiwe. Ikipita Mr Slim atapata hela ndefu.
Sasa hivi kwenda kuomba visa ya ulaya ni kama unaenda battlefield.
Unaongea seriously mkuu,,au kuchangamsha uzi?Mipaka yote ya Europe imehimarishwa ulinzi na ili kuonyesha wako serious wamejaza askari wengi sana na kila askari kaweka mafuta nyuma ya skio wakikudaka kitu watakacho kufanya lazma iwe Siri yako
Yani wanakufanya vilevile tu kama wagiriki walivyokua wakikudaka kwenye meli wanakufanya had Leo hii tabia imekoma
Watu wanakwenda Kama kawaida,,Kupata visa ya majuu ni ngumu sana kwa sasa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka balaaMipaka yote ya Europe imehimarishwa ulinzi na ili kuonyesha wako serious wamejaza askari wengi sana na kila askari kaweka mafuta nyuma ya skio wakikudaka kitu watakacho kufanya lazma iwe Siri yako
Yani wanakufanya vilevile tu kama wagiriki walivyokua wakikudaka kwenye meli wanakufanya had Leo hii tabia imekoma
Norway ni nchi moja tamu Sana.. kesho nitakutumia baadhi ya documentary tuzid peana updates za kwenda majuu, Kuna wanaijeria wengi Sana wapo kulenapatamani sana norway
Ahsante mleta mada naamini kupitia uzi huuu ndoto zangu zinakwenda kutimia ngoja nitiririke na commentsHabari,
Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia.
Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi mambele mbele a.k.a duniani..
Tuambie upo chimbo gani na taratibu za kuingia kiwanja hicho.
Pia tuambie kama "boxi" linapigika na matumaini ya kipato kwenye chimbo hilo.
Nina imani uzi huu utafaidisha wengi..
Ahsante..
Maliza kwanza shule we dogoTupeane maujanja nataka nizamie canada
Nipe muongozo mkuu nimechoka kuishi TzMaliza kwanza shule we dogo
Siwezi nikapata dili la kuosha wazee popote ulaya.HabaKri,