Uzi wa kupeana michongo ya 'kuzamia' nchi za ng'ambo

Ielezee hio Francis town huend nkazamia huko sku sio nying
 
Spain kuna shda gan, naskia katalunya kuna fursa nyng mkuu
Spain ni nchi ngumu Sana mkuu, wanaongea Castilian spanish Kama lugha Yao ya taifa, Kuna ubaguzi Sana wa rangi kule mkuu...
Canada ni nchi ngumu Sana kupata Visa, ni nchi nzuri Sana Kama utafanikiwa kwenda Kuna fursa nyingi Sana na utakua ushajihakikishia kutoboa lazima.
Pia jaribu nchi za Scandinavia Kama Norway, Sweden, Finland, Iceland, Denmark ni nzuri Sana. Usichoke kuumiza kichwa, hatua ndogo Leo huzaa hatua kubwa kesho, Anza na passport Kama hauna.
 
A

Asanta sana mkuu, ndoto zngu ZTE n njee ,
 
Mkuu embu elezea kidog mchongo wa passport unakaajee niliingia online kuchek system ya immigration inazingua balaaa
 
Afu anayejua anieleweshe
Passport na visaa unatofautishajee au zinatumikajee hizi..
Kwa uelewa wangu wa darasa la nne D passport inakuruhusu kusafiri kwa njia ya anga(pipa) na Visa ni kibali unachopewa na nchi unayotaka kwenda mfano unataka kwenda Canada basi unatakiwa uwe na visa inayokuruhusu kuingia Canada
 
Dili sasa hivi ni njia ya Portugal EU ila hakuna Boksi nyingi za kubebA.
 
Kwa uelewa wangu wa darasa la nne D passport inakuruhusu kusafiri kwa njia ya anga(pipa) na Visa ni kibali unachopewa na nchi unayotaka kwenda mfano unataka kwenda Canada basi unatakiwa uwe na visa inayokuruhusu kuingia Canada
Nimekusoma
 
passport =hati ya kusafiria
ni kibali cha kutoka nje ya mipaka ya nchi yako.
 
Habari,

Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia.

Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi "mambele mbele" a.k.a duniani..

Tuambie upo chimbo gani na taratibu za kuingia kiwanja hicho.

Pia tuambie kama "boxi" linapigika na matumaini ya kipato kwenye chimbo hilo.

Nina imani uzi huu utafaidisha wengi..

Ahsante..

Pia soma:

USA
Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange
Kila siku mnaanzisha mada za kuwashfu watz wenzenu waoishi nje,imekuwaje leo hii mtamani kwenda huko?
 
Spain ni nchi ngumu Sana mkuu, wanaongea Castilian spanish Kama lugha Yao ya taifa, Kuna ubaguzi Sana wa rangi kule mkuu...
Canada ni nchi ngumu Sana kupata Visa, ni nchi nzuri Sana Kama utafanikiwa kwenda Kuna fursa nyingi Sana na utakua ushajihakikishia kutoboa lazima.
Pia jaribu nchi za Scandinavia Kama Norway, Sweden, Finland, Iceland, Denmark ni nzuri Sana. Usichoke kuumiza kichwa, hatua ndogo Leo huzaa hatua kubwa kesho, Anza na passport Kama hauna.
Umeshawahi ishi canada au umhadhithiwa?sio kurahisi maisha yako expensive sana
 
Mwenye uzoefu na Tips za visa interview ya ujerumani share tafadhari. Ni long stay visa ( national visa - one year)
 
Back
Top Bottom