Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari boss, naweza nikapata mawasiliano yako nahitaji uelewa juu ya shughuli hiiUnajidanganya mkuu, kwenye tasnia ya dhahabu hata mtu anaeumwa presha, kisukari na mengine anaweza kufanya as long as anaweza tu kutembea, kuongea na kulala mazingira fulani ya guest za mabati (kama huma uwezo wa kulala pazuri).
Kule **** mgawanyo wa majukumu na sio kubeba vifusi kama unavyodhani.
[emoji1428]Wachimbaji na Wachorongaji (hawa ndo wanahitaji nguvu sasa), kwakua wanazama kwenye mashimo kutindua na kulipua mikanda ya dhahabu.
[emoji1428]Wamiliki wa crusher na mialo hawa hawahitaji kuwa na nguvu yoyote ile, kazi yao ni kusagisha mawe yanayosadikika kuwa na dhahabu ili kupata unga ambao utaoshwa ili kuichambua dhabu hapo mwaloni.
[emoji1428]Makota hawa nao hawahitaji nguvu yoyote ile maana kazi yao ni kununu dhahabu kutoka kwa wachimbaji kisha wanaenda kuiuza jikoni.
[emoji1428]Deallers Uwe na pesa ya maaana tu (nimesema Pesa kweli).
[emoji1428]Kimiliki Plant.