Uzi wa kupotosha methali.

Uzi wa kupotosha methali.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari wana chit-chat.

Huu Uzi ni maalum kwa kupotosha methali.

-samaki mkunje Hadi akojoe.
-mficha uchi ujue kachoka kutoka..wa
-ngoma ikivuma sana viziwi watasikia na kuanza kucheza.
-Hamadi mjomba Angu.
-Asiye sikia la mkuu atasikia la mdogo.
-simba mwenda pole ni mgonjwa.
-aliye lala mfungie na mlango.
-fimbo ya mbali haichapi mtoto.
-maji yakimwagika mwite dada apige deki
-subira anavuta bangi.

Weka zako hapa
 
Wewe inabidi uende kwenye jukwa la wavuta bangi wenzako
 
Huu ujinga pia ni utoto, ukianza kupotosha vitu kama hivi ina maana umeanza kuharibu msingi wa KISWAHILI.

Pumbavu.

Pumbavu mwenyewe kabla sijasahau.
Naona unekariri nani amekuambia kiswahili ni methali tu.
Kama haiwezi basi piga kimya
 
Njoo tuangalie straight talk Africa.

Achaneni na thread za kipumbavu.
 
Huu ujinga pia ni utoto, ukianza kupotosha vitu kama hivi ina maana umeanza kuharibu msingi wa KISWAHILI.

Pumbavu.
kitu alichowaza huyu jamaa nilikiwaza nikiwa form one D sasa yeye mkubwa ivi sijui anakwama wapi?
 
Back
Top Bottom