Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Habari wana chit-chat.
Huu Uzi ni maalum kwa kupotosha methali.
-samaki mkunje Hadi akojoe.
-mficha uchi ujue kachoka kutoka..wa
-ngoma ikivuma sana viziwi watasikia na kuanza kucheza.
-Hamadi mjomba Angu.
-Asiye sikia la mkuu atasikia la mdogo.
-simba mwenda pole ni mgonjwa.
-aliye lala mfungie na mlango.
-fimbo ya mbali haichapi mtoto.
-maji yakimwagika mwite dada apige deki
-subira anavuta bangi.
Weka zako hapa
Huu Uzi ni maalum kwa kupotosha methali.
-samaki mkunje Hadi akojoe.
-mficha uchi ujue kachoka kutoka..wa
-ngoma ikivuma sana viziwi watasikia na kuanza kucheza.
-Hamadi mjomba Angu.
-Asiye sikia la mkuu atasikia la mdogo.
-simba mwenda pole ni mgonjwa.
-aliye lala mfungie na mlango.
-fimbo ya mbali haichapi mtoto.
-maji yakimwagika mwite dada apige deki
-subira anavuta bangi.
Weka zako hapa