Binafsi nilkuwa sinywi ila kila tukitoka out huyu mshua kazi yake ni kununulia watu tu yaani wana kauli yao ya lete kama tulivyo inakuja bill 90 elfu hadi laki nikaona huu ni ujinga bora hiyo hela nami iingie tumboni bas nikaanza kunywa.
Wazazi walezi wa sasa akili hamna unakuta mtu anamnunulia demu simu laki lakini kumnunua mwanaye ipad au vitabu vitatu tu vya kusomea ni kesi huu nao ni umasikini wa siku zijazo.Watu hawa ukikutana nao washakuwa wastaafu huta amini kama ni wale wapenda sifa baa.
Tuwaombee wazai hawa wanywa pombe na walevi maana siku zijazo watajuta,Unakuta mzazi/mlezi kisa yeye kasoma kwa shida basi anataka na mwanaye apitie shida zile akiamini ndio njia ya mafanikia kweli?Kama unao uwezo wa kumnunulia mwanao gari, baiskeli, bajaji ya kwendea shule mnunulie hizo bia si unakojoa tu huzioni tena.
by Mtoto mkereketwa kwa walevi na wanywa pombe.