Uzi wa kupunguza idadi ya walevi na wanywa pombe

Giltami

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,038
Reaction score
1,623
Binafsi nilkuwa sinywi ila kila tukitoka out huyu mshua kazi yake ni kununulia watu tu yaani wana kauli yao ya lete kama tulivyo inakuja bill 90 elfu hadi laki nikaona huu ni ujinga bora hiyo hela nami iingie tumboni bas nikaanza kunywa.

Wazazi walezi wa sasa akili hamna unakuta mtu anamnunulia demu simu laki lakini kumnunua mwanaye ipad au vitabu vitatu tu vya kusomea ni kesi huu nao ni umasikini wa siku zijazo.Watu hawa ukikutana nao washakuwa wastaafu huta amini kama ni wale wapenda sifa baa.

Tuwaombee wazai hawa wanywa pombe na walevi maana siku zijazo watajuta,Unakuta mzazi/mlezi kisa yeye kasoma kwa shida basi anataka na mwanaye apitie shida zile akiamini ndio njia ya mafanikia kweli?Kama unao uwezo wa kumnunulia mwanao gari, baiskeli, bajaji ya kwendea shule mnunulie hizo bia si unakojoa tu huzioni tena.

by Mtoto mkereketwa kwa walevi na wanywa pombe.
 
Binafsi nilkuwa sinywi ila kila tukitoka out huyu mshua kazi yake ni kununulia watu tu yaani wana kauli yao ya lete kama tulivyo inakuja bill 90 elfu hadi laki nikaona huu ni ujinga bora hiyo hela nami iingie tumboni bas nikaanza kunywa.
Wazazi walezi wa sasa akili hamna unakuta mtu anamnunulia Demu simu laki lakini kumnunua mwanaye ipad au vitabu vitatu tu vya kusomea ni kesi huu nao ni umasikini wa siku zijazo.Watu hawa ukikutana nao washakuwa wastaafu huta amini kama ni wale wapenda sifa baa.
Tuwaombee wazai hawa wanywa pombe na walevi maana siku zijazo watajuta,Unakuta mzazi/mlezi kisa yeye kasoma kwa shida basi anataka na mwanaye apitie shida zile akiamini ndio njia ya mafanikia kweli?Kama unao uwezo wa kumnunulia mwanao gari,baiskeli,bajaji ya kwendea shule mnunulie hizo bia si unakojoa tu huzioni tena

Tafuta vyako dogo baba ako hafi Leo wala kesho
 
Vitabu sawa,ila ipad NO,mtaanza kutumbua bundle muangalie porn.
 
Haujui kampuni za pombe ndo zinaongoza kulipa kodi.Kuwa mzalendo changia kodi
 
Huu ni upuuzi. Mzazi huwa hasemwi weee mtoto. Pombe zimechangia uwepo wako hapa duniani. Angalia Sana.
 
Kaka Mrangi Njoo huku, wametuanza kwa kujibu Uzi wetu ule wa naniliuuu, ulipaji kodi
 
W
Binafsi nilkuwa sinywi ila kila tukitoka out huyu mshua kazi yake ni kununulia watu tu yaani wana kauli yao ya lete kama tulivyo inakuja bill 90 elfu hadi laki nikaona huu ni ujinga bora hiyo hela nami iingie tumboni bas nikaanza kunywa.
Wazazi walezi wa sasa akili hamna unakuta mtu anamnunulia Demu simu laki lakini kumnunua mwanaye ipad au vitabu vitatu tu vya kusomea ni kesi huu nao ni umasikini wa siku zijazo.Watu hawa ukikutana nao washakuwa wastaafu huta amini kama ni wale wapenda sifa baa.
Tuwaombee wazai hawa wanywa pombe na walevi maana siku zijazo watajuta,Unakuta mzazi/mlezi kisa yeye kasoma kwa shida basi anataka na mwanaye apitie shida zile akiamini ndio njia ya mafanikia kweli?Kama unao uwezo wa kumnunulia mwanao gari,baiskeli,bajaji ya kwendea shule mnunulie hizo bia si unakojoa tu huzioni tena

by Mtoto mkereketwa kwa walevi na wanywa pombe.
Wewe mtoto kama unavyojinasibu na mimi nakuambia kua huo ni utoto tu ukiua utaacha ,pia fahamu kua tunakunywa kwa kujipongeza kwa kupata vipato vizuri na kwa tunza familia zetu vyema ,lakin kama mshshala n ,360,000 bar zipite mbali.
Onyo: usini mind
 
Mitoto mengine haina adabu kabisa usimpangie mzazi cha kufanya
 
Kweli babako ni mlevi tena wakati inatungwa mimba yako alikuwa chakali. Yaani unataka babako akununulie iPad? Bure kabisa wewe!

Tuache wanywaji tunywe tukapumzike, tafuta vya kwako na ulevi wa babaako hautuhusu
 
Binafsi nilkuwa sinywi ila kila tukitoka out huyu mshua kazi yake ni kununulia watu tu yaani wana kauli yao ya lete kama tulivyo inakuja bill 90 elfu hadi laki nikaona huu ni ujinga bora hiyo hela nami iingie tumboni bas nikaanza kunywa.
Wazazi walezi wa sasa akili hamna unakuta mtu anamnunulia Demu simu laki lakini kumnunua mwanaye ipad au vitabu vitatu tu vya kusomea ni kesi huu nao ni umasikini wa siku zijazo.Watu hawa ukikutana nao washakuwa wastaafu huta amini kama ni wale wapenda sifa baa.
Tuwaombee wazai hawa wanywa pombe na walevi maana siku zijazo watajuta,Unakuta mzazi/mlezi kisa yeye kasoma kwa shida basi anataka na mwanaye apitie shida zile akiamini ndio njia ya mafanikia kweli?Kama unao uwezo wa kumnunulia mwanao gari,baiskeli,bajaji ya kwendea shule mnunulie hizo bia si unakojoa tu huzioni tena

by Mtoto mkereketwa kwa walevi na wanywa pombe.
wamekususia uzi wako, jishtukie
 
Back
Top Bottom