Uzi wa kushare matukio ya maisha kiujumla ambayo ushawai kutana nayo

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,121
Reaction score
4,856
Huu uzi ni special kwa sie tusie penda kuanzisha thread kwa sababu ya matukio madogo madodo

Lengo la kushare matukio haya ni kuweza kuwasaidia wengine siku akikutana na tukio la aina yeyote aweze kulimudu asione kama kitu kipya sana

Mwaka 2015 niligombana na mshikaj mmoja hivi pool table, asa mshikaji akawa anataka anioneshe kama yeye sio wa kuchezewa ovyo maana Alisha sikia story kuhusu Mimi kwamba ni mkorofi hivo akataka kunipiga, ile sijakaa sawa nilichezea kitasa cha uso nikawa naona nyota nyota, nikatulia kama sekunde ishirini akili ikakaa sawa nikaona mshikaji ananichezea nikaokota white nikampiga kichwan mshikaj akaanguka chini

Mshikaji akazimia, nikajua nimeua usiku huo huo nikaamsha Mbeya nimekaa siku tano washkaj wakanicheki kwamba mshikaj alizimia tu na aliumia japo sio sana, nikaona aaah kumbe amna noma nikarud hom, ile kurudi nimekaa him jioni nakuta mshkaj kaja na polisi wawili, nikajisemea moyoni Leo nimeisha, ishu haikua kubwa kama nlivyo fikiria niliwagei laki mambo yakaisha juu juu

2017 kuna demu tulikutana mgahawani ambapo mi nilikua ndo napata dinner kila siku, siku ya kwanza nikalipa bili tukapiga story mbili tatu tukaagana bila mi kuomba namba

Ikawa kila Sikh tunakutana apo mgahawan na mi kiroho safi nalipia fresh maisha yanaendelea, asa siku moja nikasema ngoja nimpeleleze maana alikua akitoka mgahawan anaenda kwa mshikaj mmoja hiv ana duka la nguo

Kufupisha story final nilikuja kuwakuta wanakula romance nikajua kua wapenzi, ilinipain ila nikachana nao kiroho safi, maana nilishaanza kumpenda yule mwanamke

Matukio yapo mengi semkufupisha Uzi niishie hapa, karibuni kushare
 
way back 3january2018 nilikanyaga garden za kambi ya lugalo officers mess acha bwana kilichonikoa Ni ID card yangu ya kuwa Ni mwanafunzi..
 
Back
Top Bottom