Uzi wa kushare nyimbo za Kisukuma

Uzi wa kushare nyimbo za Kisukuma

Terace

Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
75
Reaction score
98
Bhanamhala mhu le mhola hene?

Uzi huu mahususi wa kushare ama kushirikishana nyimbo zozote za kisukuma ili kudumisha mila na tamaduni zetu.

Kwa sababu wasukuma tunasifika kwa kuwa wapole na wakarimu. basi uzi huu unaruhusu pia makabila mengine kuweka nyimbo zilizoimbwa kwa lugha zao ili tuweze kudumisha tamaduni za makabila yetu.

Siyo ajabu wengi wetu tunajua kuimba nyimbo za kigeni na tusiweze kuimba hata wimbo mmoja wa kabila lako.

Usiweke nyimbo zilizoimbwa kwa Kiswahili, ama kwa lugha yeyote isiyokuwa ya kabila linalopatikana hapa Tanzania mfano Kiingereza, Kifaransa n.k

Karibuni.

Note; Na mimi nazikusanya ili niweze kushare pia...
 
nilitegemea hii hali hakuna mwenye nyimbo hizo. sasa omba movie yoyote ya kizungu mkuu
 
Back
Top Bottom