Uzi wa kusheherekea maisha ya hayati Dr. Reginald Mengi

Uzi wa kusheherekea maisha ya hayati Dr. Reginald Mengi

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Ni miezi 6 imepita tangu mzee mengi afariki.

Kama kuna kitu chochote unachokikumbuka kuhusu mzee mengi tupia kwenye huu uzi.
 
Kwanza kwanini jana hatukuwaona mapacha kwenye misa yenu ya shukurani?
 
Kwanza kwanini jana hatukuwaona mapacha kwenye misa yenu ya shukurani?
Wako shule!!...na mama Yao Yuko busy na biashara!!!..The world is not fair..ukijua hivi wenzako wanajua vile!!!...Tuko Salama kabisa kwasababu Mwenyekiti alitufundisha kutengeneza Taasisi!!!
 
Walioachiwa mali wazitumie vizuri tu wasije wakaja kumdhalilisha Mengi huko baadae kwa kuanza kuwa ombaomba maana kuna msemo wanasema kwamba marehemu huwa anaenda na mali zake.
 
alikuwa
akitoa misaada sana nakumbuka tetemeko LA kagera alitoa mil. 100 kama nimekosea mtanisahihisha
 
Back
Top Bottom