Ukisikia pesa hamna unafikiri ni kwamba mnalala njaa? Nop, spare money ndio huwa inakosekana mara nyingi so hamna shopping wala outing! Ni mapambano tu ya surviving R.Kelly 😸😸😸Sasa hamna pesa unafurahia nini? Aaah bwana we hebu usitufunge kamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sanaYaani hii pia inanipa raha, Miye na mwenza wangu tulikuwa marafiki basi ni kumwambia tuu uko wapi? Nakuhitaji basi akitoka tuu ofcn fasta home.
Khaaa kwahio sisi ambao hatuna pesa ndoa inakuwaje?Sasa hamna pesa unafurahia nini? Aaah bwana we hebu usitufunge kamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnakula mawe?Khaaa kwahio sisi ambao hatuna pesa ndoa inakuwaje?
Ela ya kula ipo shem...
Mnakula, mnashiba, bills mnalipa, watoto wanasoma shule nzuri, hapo unasemaje huna pesa?Ela ya kula ipo shem...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnakula, mnashiba, bills mnalipa, watoto wanasoma shule nzuri, hapo unasemaje huna pesa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo neno alikuwa anapenda sana kulitumia demu wangu wa zamani kabla sijaoa, kama ndio wewe fanya mpango basi tukapashe kiporoKujunjana, muhimu sana hii kitu 😋😋😋
Wengine viporo hatutumii kuwa na adabuHilo neno alikuwa anapenda sana kulitumia demu wangu wa zamani kabla sijaoa, kama ndio wewe fanya mpango basi tukapashe kiporo
Si mnaona wenyewe wanvyosemaYani hata niwe na mamilioni ila nikimuomba husband ananipa kwa moyo yani kuna siku najisikia tuu anipe yy hela ya kifurushi au maybe nataka kufuli mpya sio kwamba sina hela ila kwa sbb nafurahia uwepo wake na ninafurahia zaidi akinipa yy au kuninunulia yy. Zaidi kuna security kubwa akiwepo yy. Mungu tulindie waume zetu japo tunapishana sometyms but we know ni sehemu ya ubindamu kwa sbb hatuko wakamilifu.
Hongera sana hakika umepata mke mwemaSijawahi nyimwa tendo,napikiwa bila manung'uniko hata kama tumegombana,mke wangu hajawahi acha kuniandalia maji ya kuoga for more than 4yrs,kiufupi ndio hayo.
Hujanielewa. Reserve your commentSi mnaona wenyewe wanvyosema
Pesa ndo Kila kitu,
Kama huna pesa au umefulia utaona Bora usingeoa, tu
Mbaya zaidi awe na mashosti wenye madanga au wapo vizuri kifedha
Vijana Kama hamna hela msiooe
Gonga tu akizingua msepeshe kwao
Kisha tafuta pesa ;
Muombe Mungu utapataNapenda sana kuona wanandoa wakipendana sana uwa natamani sana namuomba Mungu anipe mke wa kufanana nae maana nina mapenzi ya dhati and am real gentleman najua kupenda kwa vitendo
ushawishi wa hali y JUUTuhamieni kwenye mabaya mmeshatushawishi cha kutosha..
Anza weweHakika liko kusudi la Mungu katika mapenzi! Upendo ni tunda tam sana linalotafutwa na yule muovu!
Naomba kwa Uzi huu tuambizane Yale mazuri yaliyomo kwenye ndoa!
Ili wale tunao ogopa kuingia tupate hamasa!
Mliopo kwenye ndoa msishiriki kuyapa ushindi yale mabaya tu yasikike masikioni bali hata yale matam!
Naomba leo muyaweke hapa Yale mazuri ili wenye hofu wayapime na wingi wa Yale mabaya!
Kuna wakati huwa najiuliza! Hivi Busu la kila siku kwa mwaka mzima inamaana halina uzito kuliko teke la siku moja?
Hamuoni ya kwamba Wanandoa wanafurahia zaidi kuliko mda wa chuki?
Wanandoa jamii inawatazama nyinyi, je kwanini Hampendi kuonesha jamii Yale mazuri ili kuwaondolea hofu? Picha za mahaba mmezitia kufuli lakini za kuchinjana mnazileta bayana kwanini?
Naomba leo kwa yoyote humu anaejua tam yoyote ya ndoa atuambie hapa!
Story za kuchinjana na kuchomana visu na mkaa ebu leo tuziweke pembeni tuhesabu Faida za ndoa!
Wanandoa kama mtaamua kunyamaza hapa basi mtakuwa mmeshiriki dhambi ya kuyatangaza Yale mabaya yasikike zaidi kuliko mema!
Siyo kila siku tusikie negative tu!.. Naomba leo tuweke utam hadharani hapa ili ndoa iheshimiwe na watu wote! Nawangojea hapa huku nakula zangu karanga sitoki!
Siyo lazima uwe kwenye ndoa, hata kama haupo kwenye ndoa lakini unayajua matamu ya ndoa karibu ushuhudie hapa
PoaAnza wewe
Trust me, utapata wa kufanana nae mwenye genuine love. Mwamini Mungu na tumia akili kuliko hisia kwenye kufanya selection, you will get the right one for you. Sikuzote niliamini wanawake wema na bora wapo na mwisho wa siku nikapata nilichoamini. All the best mkuu, nakuombea.Napenda sana kuona wanandoa wakipendana sana uwa natamani sana namuomba Mungu anipe mke wa kufanana nae maana nina mapenzi ya dhati and am real gentleman najua kupenda kwa vitendo
Hatarii😅ushawishi wa hali y JUU