Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Ndoa imara ni taasiisi inayotengenezwa na mwanaume, si mwanamke
Taasisi hii huanza kujengwa wakati unapoanza kuchagua mwanamke wa kuishi naye, wengi huwa wanafeli hapa......vijana wengi wanakurupuka sana kwenye hili,

Kabla hujaoa ni lazima ujitathmini wewe mwenyewe muoaji , je niko tayari kuoa, ?mimi ni nani,? kipato changu kitatosheleza mahitaji ya kawaida yangu na mwenzangu? Tabia yangu ni ya aina gani? Nahitaji mwanamke wa aina gani ili niweze kuishi nae kwa furaha hadi uzeeni nk nk
Ukipata majibu ya maswali hayo then utaweza chagua mwenza ambaye ataiweza safari yako, .

...uzuri wa mwanamke+tako , ajira ya mwanamke (uchumi imara) ndio kimekuwa kigezo kikuu cha vijana wa sasa kuanzisha mahusiano wakisahau kwamba ndoa ni agano takatifu la kiMungu ambalo km mwanamke au mwanaume hana hofu ya Mungu lazima ndoa ifeli


Kwa hali ilivyo sasa nashauri vijana muwe waangalifu sana kwenye hili swala la ndoa, utandawazi umeharibu sana, ila sio kila kitu.
You still have a great chance of getting the right partner.

Mwisho
 
Umenena kiutu uzima sana mkuu! Heko kwako nimeipenda hii
 
NDOA inafaida NYINGI:-
Kutuliza nafsi.
Kusafisha damu,inapunguza matumizi makubwa ya kuhonga,kuboresha MWILI,kushiriki kikamilifu kwenye ile IBADA bila hofu ya maradhi ya zinaa KWA mwenza,kurithisha kizazi KWA kutokana na watoto nao kutamani kuoa au kuolewa, kupunguza msongo wa mawazo
 
Amina
 
Daaah hujanielewa badoo.Kwahyo ww kumnunulia mkeo unaona shida? mimi napenda aninunulie kwa sbb napenda tuu na sio kwamba akiwa hana nitalalamila au nitakwazika. Its just romantic kumnunulia mkeo au mumeo kitu.
 
Asante mkuu na nafurahi kwa kuniombea napokea
 
Ni changamoto za kuelekezana
 
Raha ya ndoa mshone sare za vitenge, kama hujafik hii point bas bado hauja enjoy ndoa.
 
Hii no2 dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe tunajichelewesha wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…