financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Sasa unataka tukae tu tumetulia hamna hata kaugomvi kidogo aah lazima nikuchokoze tu uchangamke😀😀 nakupiga hata konzi tu nikuone🏃♀️Kukosea kupo tu ila ugomvi wa makusudi sio
Umenikumbusha Joti(Kiboga) aliolewa tokea uswahilini akakuta familia yenye mama mkwe, wifi lakini hamna anayemchokoza! Akalianzisha.. akidai anataka changamoto eti nyumba haina VIBE!Sasa unataka tukae tu tumetulia hamna hata kaugomvi kidogo aah lazima nikuchokoze tu uchangamke[emoji3][emoji3] nakupiga hata konzi tu nikuone[emoji2088]
Umeona eeh lazima nyumba ichangamke japo kidogo bana, mambo ya kutulia tu kama utumbo huko ndani aah😀😀Umenikumbusha Joti(Kiboga) aliolewa tokea uswahilini akakuta familia yenye mama mkwe, wifi lakini hamna anayemchokoza! Akalianzisha.. akidai anataka changamoto eti nyumba haina VIBE!
Hahahahah yani wewe 😂😂😂Sasa unataka tukae tu tumetulia hamna hata kaugomvi kidogo aah lazima nikuchokoze tu uchangamke😀😀 nakupiga hata konzi tu nikuone🏃♀️
Nyumba lazima ichangamke kidogo babe😀Hahahahah yani wewe 😂😂😂
Sawa babe miss u sana loveNyumba lazima ichangamke kidogo babe😀
Umemiss nikuchokoze eeh😍 miss you moreeSawa babe miss u sana love
Eeh memiss kuchezea hizo mahagazUmemiss nikuchokoze eeh😍 miss you moree
Duh mahagaz ndiyo nini tena babe😉Eeh memiss kuchezea hizo mahagaz
Hahahah si tupaja tuneneDuh mahagaz ndiyo nini tena babe😉
Yap coz uko mpuuz Sana,,,,,,, uzi unataka mazuri y ndo wewe unadai tutaachana Ili umuoe wewe mke wangu,,,,???? Na watoto wataishije tukisha achana....?????
Non sense
Acha ukali mkuu nimeweka maneno ya changamoto. Daaah kweli ndoa tamu maana povu lako si mchezo
Wifi anafagia, Kiboga anarudishia takaUmenikumbusha Joti(Kiboga) aliolewa tokea uswahilini akakuta familia yenye mama mkwe, wifi lakini hamna anayemchokoza! Akalianzisha.. akidai anataka changamoto eti nyumba haina VIBE!
Wifi anafagia, Kiboga anarudishia taka
Duh ungejua nilivo na flat screen babe usingesema hivo😒Hahahah si tupaja tunene
😋😋😋😋😋 kama vile ndo flat basi mi nifweDuh ungejua nilivo na flat screen babe usingesema hivo😒
Jamani ndoa haibagui TV flat au Chogo chamhimu iwe imeungwa na Dish!..wazungu wataonekana tuDuh ungejua nilivo na flat screen babe usingesema hivo😒
Duh haya ahsante kwa kunifariji mkuu😃😍Jamani ndoa haibagui TV flat au Chogo chamhimu iwe imeungwa na Dish!..wazungu wataonekana tu
Tena kama hujui Flat screen zinaonesha CLEAR!Duh haya ahsante kwa kunifariji mkuu😃😍