Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga nilipenda sana daladala za baiskeli unataili barabara zote 21, maisha yao ya mtaani pia ni maisha ya kurizika wanashukuru kwa wote.
Rombo niliwai fika kule nilifurahia mbege fresh na nyama za pori
Arusha nilipenda sana kipindi cha amu iliyopita unaweza fika bar watu wakafika mezani kwako mkaanza kula bia zisizo na idadi ,wakamaliza wakalipa na kusepa
It is never to late to begin. Start now
Kwa kweli Tanga nami ndo mara ya kwanza kukuta daladala ya baskeli na ndi mara ya kwanza kupanda maishani kwangu.
Nikaja kuzikuta tena Geita wanaziita "daladala"
Ndo wapi
Shinyanga,nzega.....n.kKwa kweli Tanga nami ndo mara ya kwanza kukuta daladala ya baskeli na ndi mara ya kwanza kupanda maishani kwangu.
Nikaja kuzikuta tena Geita wanaziita "daladala"