Uzi wa kutafuta mume/mke

Uzi wa kutafuta mume/mke

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaniweka nini! we ndo utakua na roho mbaya sasa
Unasema [emoji101]? Yani mm nikuandikie uzi nimalize na maneno yote kuandika juu yako alafu usitokee nani atakuwa na roho mbaya sasa hapo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Natafuta mtoto mrembo mzuri aje awe mama watoto wangu. Kama pesa ninazo coz nimeajiriwa na pia nina vibiashara vyangu vya kuniingizia pesa za ziada
 
Back
Top Bottom