Uzi wa kutaja na kuwashukuru wakazi wa mji au mkoa uliotusua kimaisha

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Sio lazima utaje kazi au shughuli yako. Ila mimi binafsi nawashukuru wakazi wa jiji la mbeya maana ndipo nilipotokea kimaisha baada ya kupuyanga na kuchochola saaaaaaana. Salute kwà mbeya na Wana mbeya.
 
Vijana wengi wa mjini pia mfano vunja, deviisports na wengine wametokea mbeya au mikoa ya huko juu kusini. Hata kariakoo nako wamejaa sanaa, wanapambania kombe na kina mangisina.
 
Vijana wengi wa mbeya ni watafutaji tofauti na wa pwani .
 
Ila tatizo dada zenu Wanyaki jamani yaani wanatuvunjia familia. Unakuta Mwanamke wa Kinyaki na yale Mashepu yao Madogo zetu /Mashemeji wao wakija nyumbani likizo ni kujipigia tuuuu. Sasa hii sio poa jamani tunaishia kufukuza ndugu zetu wa damu kisa kujirahisi kwa dada zenu au wakati mwingine Miwaya inakula ukoo mzima kwa visa hivi. Based on true story kwa mtu wangu wa nguvu 😭😭😭
 
Hapa sio kabila mzee. Ni wanawake mliochagua tu. Mbona mashemeji wa kichaga na kizaramo tunapiga tu safi. Wala sio kabila wala nini
 
Back
Top Bottom