Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Haikojoi dingilePainter,Comedian,Cartoonist,Rapper,Songwriter,Freestyler,Designer,Logo maker,Director and so on.
Ungejibu swali tuu. badala ya kuuliza swaliUnataka kujua vipaji ama kuna jingine zaidi(kucha za wadada bure)?
Hicho ni kipaji?Mie mdangaji maarufu.
Nahisi kufanya kazi ma-casino tofauti tofauti na kwa miaka mingi, ndio imenipa uzoefu huu.
Niliachana na kazi serikalini sasa 'nimejiajiri'
Wewe ndo mtaalam wa hip hop dj jeff jerry??Official Dj Jeff jelly
Le madameMie mdangaji maarufu.
Nahisi kufanya kazi ma-casino tofauti tofauti na kwa miaka mingi, ndio imenipa uzoefu huu.
Niliachana na kazi serikalini sasa 'nimejiajiri'
Kipaji changu shairi, na mimi najieleza.Wana jf tutiririke hapa vipaji vyetu hapa. chochote kile.
Ili kwa wale wa kusaidiana basi wasaidiane.
Naanza Mimi
Mimi ni dj,
Producer (japo nimeacha)
Extender.
Football player (hapa nimebobea)
Mc. (japo siipendi)
Nasugua Kucha wadada pia(nasugua buree) [emoji23][emoji23][emoji23]
Share nawe kipaji chako au hata kazi yako ..
Bongo ingekuwa kama Ulaya, ningekuwa nacheza soka Man United.
Kikojoz bora na wa wakati wote
Pia mlamba mwiko maaruf
Mie mdangaji maarufu.
Nahisi kufanya kazi ma-casino tofauti tofauti na kwa miaka mingi, ndio imenipa uzoefu huu.
Niliachana na kazi serikalini sasa 'nimejiajiri'