Uzi wa kutambuana vipaji vyetu

Uzi wa kutambuana vipaji vyetu

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wana jf tutiririke hapa vipaji vyetu hapa. chochote kile.
Ili kwa wale wa kusaidiana basi wasaidiane.
Naanza Mimi
Mimi ni dj,
Producer (japo nimeacha)
Extender.
Football player (hapa nimebobea)
Mc. (japo siipendi)
Nasugua Kucha wadada pia(nasugua buree) 😂😂😂

Share nawe kipaji chako au hata kazi yako ..
 
Wana jf tutiririke hapa vipaji vyetu hapa. chochote kile.
Ili kwa wale wa kusaidiana basi wasaidiane.
Naanza Mimi
Mimi ni dj,
Producer (japo nimeacha)
Extender.
Football player (hapa nimebobea)
Mc. (japo siipendi)
Nasugua Kucha wadada pia(nasugua buree) [emoji23][emoji23][emoji23]

Share nawe kipaji chako au hata kazi yako ..
Kipaji changu shairi, na mimi najieleza.
Kwa utungaji hodari, mimi hapa ninaweza.
Kwa mashairi mazuri, mimi hapa ninauza.
 
Back
Top Bottom