Uzi wa kutoa maoni ya vikwazo vya ukuaji wa soka la Tanzania

Moja ni Karia atuachie TFF yetu
2:Simba na yanga ziwekeze kwenye academy sio midomo miiiiiingiiiiii
3.Siasa iache kuingilia mpira wanaharibu
4:Manara atoke😆😆😆😆😆
5:Miundombinu iboreshwe zaidi nchi nzima
6:Mashindano ya kusaka vipaji mashuleni wapunguze rushwa kwa wazazi wanaotaka watoto wao wafike mbali.
7:Makocha wakawa wapunguze njaaaa na rushwa pumbavu zao
8: Tuwekeze kwenye Ufundi zaidi sio ushirikina..........>>>

Ngoja nilale zangu mihogo pale kwa bi mkubwa na kurudia😂😂😂😂😂😂
 
Shukrani sana Mkuu. Kuna mapya nimejifunza!
 
Back
Top Bottom