Moja ni Karia atuachie TFF yetu
2:Simba na yanga ziwekeze kwenye academy sio midomo miiiiiingiiiiii
3.Siasa iache kuingilia mpira wanaharibu
4:Manara atokeπππππ
5:Miundombinu iboreshwe zaidi nchi nzima
6:Mashindano ya kusaka vipaji mashuleni wapunguze rushwa kwa wazazi wanaotaka watoto wao wafike mbali.
7:Makocha wakawa wapunguze njaaaa na rushwa pumbavu zao
8: Tuwekeze kwenye Ufundi zaidi sio ushirikina..........>>>
Ngoja nilale zangu mihogo pale kwa bi mkubwa na kurudiaππππππ