Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kumsamehe bure ana stress aliniombea ban had mimi sijui yukoje mpuuzi yuleKuna mkaka humu juzi kakomaa nipigwe ban,, ana mwandiko mzuri tatizo ana kiherehere flani hivi kama wale wadada wa buguruni
Sema kweliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio nishakwambia au hutaki nikutulize
Ali kuchukulia Dem ehh😂😂😂 AnalyseUnakuta kuna mtu una beef nae halafu humuwezi, so unaishia kuumia wewe.
Kuna huyu jamaa sitoelezea chanzo cha bifu letu, ila roho inaniuma siwezi kumfanya chochote. Jamaa anafanya kazi machinjioni so most of the time nikikutana nae ni either ana visu au kishoka kiunoni. Nashindwa hata jinsi ya kumuingia.
Ila namchukia kinyama huyu boya.
Analyse
Hakika ..Amina..na iwe hivyo kwakoHana heraa achana naye tu Mungi yupo anatenda mema atanipa mwaka mwenye furaha amani na upendo , ataniepushia wanafiki , wenye kusema uongo , ataniheshimisha kumalizia mwaka huu nakuanzia mwingine
Vijana hawataki kuonywa ndo hao wananitafutia banHadi wewe kuna watu wanakutafutia ban??
Hamna wanahitaji stick, wakati nasoma secondary kuna mvulana mmoja alikuwa form 4 mi form 3 akawa na tabia za kike umbea umbea akipanda morning speech anaongelea mada za kabila langu siku moja nikamuundia ka kikao na wadau wangu(ke) tukamuweka kati alilamba stick heavy na upupu tukampaka mpk leo ni story eneo lile sasa na hawa wa humu ndo wanatakiwa kufanywa hivyoNenda nao taratibu tu, wataelewa somo.
Sema umenikosha uliposema ana muandiko mzuri 😅
Kumbe kitambo ulikuwaga mbabe eeh? Kama tungesoma wote, ningekurecruit kwenye chama langu.Hamna wanahitaji stick, wakati nasoma secondary kuna mvulana mmoja alikuwa form 4 mi form 3 akawa na tabia za kike umbea umbea akipanda morning speech anaongelea mada za kabila langu siku moja nikamuundia ka kikao na wadau wangu(ke) tukamuweka kati alilamba stick heavy na upupu tukampaka mpk leo ni story eneo lile sasa na hawa wa humu ndo wanatakiwa kufanywa hivyo
😂😂Yani hadi walimu walikuwa wananiogopa halafu navyoonekana ka saint flani hivi kamchongo kumbe.....Kumbe kitambo ulikuwaga mbabe eeh? Kama tungesoma wote, ningekurecruit kwenye chama langu.
😂😂😂Utoto raha kweliTena nyie mnaoonekana kama saints ndio mlikuwa mnafaa kuwekwa front line, maana walimu wakiwaona tu, wanahisi tunasingiziwa 😅