Uzi wa kutolea hasira. Comment chochote hadi hasira zipoe

Pesa jamanii.wewe pesa weweeee[emoji35]
 
Kuna mkaka humu juzi kakomaa nipigwe ban,, ana mwandiko mzuri tatizo ana kiherehere flani hivi kama wale wadada wa buguruni
Wa kumsamehe bure ana stress aliniombea ban had mimi sijui yukoje mpuuzi yule
 
Ali kuchukulia Dem ehhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Analyse
 
Hana heraa achana naye tu Mungi yupo anatenda mema atanipa mwaka mwenye furaha amani na upendo , ataniepushia wanafiki , wenye kusema uongo , ataniheshimisha kumalizia mwaka huu nakuanzia mwingine
Hakika ..Amina..na iwe hivyo kwako
 
I have hate in my heart i want to punch someone natamani nipate ata punching bag nipige kwel kwel
 
Kuna mkaka humu juzi kakomaa nipigwe ban,, ana mwandiko mzuri tatizo ana kiherehere flani hivi kama wale wadada wa buguruni
Hadi wewe kuna watu wanakutafutia ban??
 
Nenda nao taratibu tu, wataelewa somo.

Sema umenikosha uliposema ana muandiko mzuri πŸ˜…
Hamna wanahitaji stick, wakati nasoma secondary kuna mvulana mmoja alikuwa form 4 mi form 3 akawa na tabia za kike umbea umbea akipanda morning speech anaongelea mada za kabila langu siku moja nikamuundia ka kikao na wadau wangu(ke) tukamuweka kati alilamba stick heavy na upupu tukampaka mpk leo ni story eneo lile sasa na hawa wa humu ndo wanatakiwa kufanywa hivyo
 
Kumbe kitambo ulikuwaga mbabe eeh? Kama tungesoma wote, ningekurecruit kwenye chama langu.
 
Kumbe kitambo ulikuwaga mbabe eeh? Kama tungesoma wote, ningekurecruit kwenye chama langu.
πŸ˜‚πŸ˜‚Yani hadi walimu walikuwa wananiogopa halafu navyoonekana ka saint flani hivi kamchongo kumbe.....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Yani hadi walimu walikuwa wananiogopa halafu navyoonekana ka saint flani hivi kamchongo kumbe.....
Tena nyie mnaoonekana kama saints ndio mlikuwa mnafaa kuwekwa front line, maana walimu wakiwaona tu, wanahisi tunasingiziwa πŸ˜…
 
Mbona Hannah simuon Yaan unachambwa umekaa kimya tu unawaogopa etii kina countrywide mi nakuaminiaga we jeshi la mtu mmoja


[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…