proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Hiyo picha yako inanikumbusha kilimo Cha maharage,haivutii Wala kupunguza stress
Mamndenyi futa hii ya selfie inatisha na kuongeza stressniwekeeni hizi picha hapa juu.
jf mn
Wakiume au wa kike
Mzigo wa kutosha kabisa.View attachment 2491202
Kama hio vipiMzigo wa kutosha kabisa.View attachment 2491202
Okay I deleted my reply,Mamndenyi futa hii ya selfie inatisha na kuongeza stress
Huyu atakuwa mtoto wa kiume tu lazima
Hii kitu tamu asikwambie mtuMzigo wa kutosha kabisa.View attachment 2491202
Karibuni humu kutuma picha Yako yoyote ya kuvutia, kufarahisha, pia hata kupunguza msongo wa mawazo. Mfano ukiwa na stress au msongo wa mawazo unaweza kutembea sehemu yenye miti au maua au misitu na mito kwa ajili ya kupata hewa Safi na Kufanya meditation (fikra kwa kuvuta hisia Fulani). Hata kunusa harufu ya ua tu inapunguza msongo wa mawazo.View attachment 2490983