kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Sasa hapa unavutia watu au nyoka?Karibuni humu kutuma picha Yako yoyote ya kuvutia, kufarahisha, pia hata kupunguza msongo wa mawazo. Mfano ukiwa na stress au msongo wa mawazo unaweza kutembea sehemu yenye miti au maua au misitu na mito kwa ajili ya kupata hewa Safi na Kufanya meditation (fikra kwa kuvuta hisia Fulani). Hata kunusa harufu ya ua tu inapunguza msongo wa mawazo.View attachment 2490983