Lexus aka tako la nyani!!I'll be riding this on July kama ikimpendeza Mwenyezi MunguView attachment 1057548
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashine za Kazi hizi.Najua kuna watu washanielewa tayariView attachment 1057607View attachment 1057610View attachment 1057613View attachment 1057616
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamu sanaa iziii... cruiser mkonge tandum... beast..... ila hii inafaa kama unakaa huko makutupora, nanjilinjili, ngorongoro, mchoboro, fukayosi and the like. Kwa mjini daslam haifaiNajua kuna watu washanielewa tayariView attachment 1057607View attachment 1057610View attachment 1057613View attachment 1057616
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo the same lakini kabla ya kufika huko kwanza natafuta Bajaji ya kunitoa kwenye umaskini