Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Ndoto zako mkuu zimevuka mkuu si Lamborghini hii?
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la dubwana hii makituNami mungu ikimpendeza mwakani mwezi kama huu au adi watano nitakiwa na hii kituView attachment 1057566
[emoji1] [emoji1] ndoto nyingine huwa kweli, binafsi nishapiga tu hatua kama 37 out of 100 ili niiifikie ndoto yangu!
Hii ndio midude yangu asee! Hela uko wapi hela?Najua kuna watu washanielewa tayariView attachment 1057607View attachment 1057610View attachment 1057613View attachment 1057616
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili dude ka jioni jioni watoto lazima wakimbie kwa kuliogopa. Sura ka dubu!!
Hivi hii mpya inasoma dolali ngapi currently?Naipenda sana hii gari.. yaani naamini nikikomaa naimidu ninao uwezo wa kuimiliki mbeleniView attachment 1057692
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Kumbe kama mtu unamishe zikakuendea vzr unaing'oa tu na kuanza kula nayo lyf hapa hapa Tz!Mpyaa sijawahi cheki but used from japan, haitofautiani sana na hilux 40 had 50+
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Hii mbona ipo chini sana? Kwa barabara za Kiteto, Biharamulo, Ifakara, Malinyi nk utaburuza ardhi mpk basi!
Dar haifai kivp?Tau
Tamu sanaa iziii... cruiser mkonge tandum... beast..... ila hii inafaa kama unakaa huko makutupora, nanjilinjili, ngorongoro, mchoboro, fukayosi and the like. Kwa mjini daslam haifai
yaan upo bongo hii hii huijui gari ya marley dollar, hii ndo gari ya baba
Ha ha haaa! Unaishia kuiangalia tuuu na kushukuru Mungu kwa kuota! Tafuta dinari mkubw, lazima ndoto itimie!Kuni Nissan flani alikuwa nayo Mzee Lowasa, ile gari ni kali bei yake imesimama wima... Ndoto nyingine unakubali ikupite kiroho safi