Hii ukiwa nalo ukilifikisha home pale Tabata Unaachia dude moja kama kujipongeza na kutangaza kuwa umeingia muji ya Makonda! Panya road wote watahama mtaa!![emoji13] [emoji13] [emoji13]Mtambo wa kirusi hakuna kulala nikiupata huuView attachment 1064891
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Duh! Hizi kitu kuna mtu analo Tz yetu? Naiona ipo unique Iveco MassifMimi nikipata Iveco Massif itakuwa safi sana japo ipo ka Land lover ka za enzi za kupigana na Idd Amin Dada! Enzi za Mwalimu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu hii hapa Rav 4 ya 2019, sijui itakuwa inakwenda hela ngapi!!!Rav 4 new model
Hii kitu nimeona anaisukuma nyalandu.. kali sanaNisan Infiniti QX80
Same dream Mkuu. Niliona hii kitu pale International School Of Tanganyika, Masaki.
kitu kitamu....lazima milioni 30 hichoKitu hii hapa Rav 4 ya 2019, sijui itakuwa inakwenda hela ngapi!!!View attachment 1066226View attachment 1066227
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasoma USD kuanzia 25,500 to 36,000Ki
kitu kitamu....lazima milioni 30 hicho
hata haka ka mil 10...napiga punyeto ya maisha nijihisi nna lamboghinView attachment 1069949
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona baya hivi mkuu?