Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

Mimi nikipata Iveco Massif itakuwa safi sana japo ipo ka Land lover ka za enzi za kupigana na Idd Amin Dada! Enzi za Mwalimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Hizi kitu kuna mtu analo Tz yetu? Naiona ipo unique Iveco Massif
Other_machinery_Car_IVECO_MASSIF-xxl-1774_2160910389.jpg
iveco-massif-iveco-massif-25-s-15-sw5d-w-4x4-gris_6210101497.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom