Duh! Nimeielewa asee! Hilo usiwe na njaa za kulia lia wese!yaan upo bongo hii hii huijui gari ya marley dollar, hii ndo gari ya babaView attachment 1059115
Ndo maana ya gari ya ndoto inabd uwe good mfukoni mkuu
Sure, nakumbuka Zitto alinunuaga Hummer kipindi cha mihela kibao, siku moja namsikia anahojiwa akasema aliliuza kisa mkojo wa mwarabu ulikuwa unanywewa balaa!Ndo maana ya gari ya ndoto inabd uwe good mfukoni mkuu
Sure, nakumbuka Zitto alinunuaga Hummer kipindi cha mihela kibao, siku moja namsikia anahojiwa akasema aliliuza kisa mkojo wa mwarabu ulikuwa unanywewa balaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama gari hizi hapa! Mtu unakula vitumbua huku unawaza Piza za Mackdonald au baga!Inabd uwe na gari ndogo yakuzugia kitaa
ni bora ninunue baiskeli sio Ist mkuuKama gari hizi hapa! Mtu unakula vitumbua huku unawaza Piza za Mackdonald au baga!View attachment 1059145View attachment 1059146
Sent using Jamii Forums mobile app
Tako la nyani🤓I'll be riding this on July kama ikimpendeza Mwenyezi MunguView attachment 1057548
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaa! Acha izo bana, IST gari nzuri kwa watu wa uchumi wa kati. Fuel economic, simple and stylish. Mtoto huanza kwa kutambaa then siku moja atakimbia! So hata mwenye gari ka ya Mr Bean au mgongo wa chura aka Bito nao waheshimiweni bora ninunue baiskeli sio Ist mkuu
yaan upo bongo hii hii huijui gari ya marley dollar, hii ndo gari ya babaView attachment 1059115
[emoji2][emoji2] tako la nyaniI'll be riding this on July kama ikimpendeza Mwenyezi MunguView attachment 1057548
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha vp kwaniMammaee!!!
Bei yake imesimama halafu ukiinunua unakuja kuibadilisha vitu vingi sana vipya, sijui kama ni yote ila nauhakika ni magari yote mfumo huu wa Discover kama hii kwenye picha.......
Sijaelewa hapo pa kubadili vitu. Why vibadilishwe?Bei yake imesimama halafu ukiinunua unakuja kuibadilisha vitu vingi sana vipya, sijui kama ni yote ila nauhakika ni magari yote mfumo huu wa Discover kama hii kwenye picha.......
Nisan Infiniti QX80Ha ha haaa! Unaishia kuiangalia tuuu na kushukuru Mungu kwa kuota! Tafuta dinari mkubw, lazima ndoto itimie!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaniii! Kuna watu wanakula miraha! Maengineer wanaumiza vichwa daily!Nisan Infiniti QX80
Hii chombo ya kiumeni ni maarufu sana duniani, haichagui,bagui njia na kazi zote inafanya iwe jeshini kwenye starehe nk twende kaziNajua kuna watu washanielewa tayariView attachment 1057607View attachment 1057610View attachment 1057613View attachment 1057616
Sent using Jamii Forums mobile app