Johsal
Senior Member
- Oct 23, 2014
- 164
- 145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndinga hupakizi magendo... Ukitaka kushuka tu, kila kitu kipo waziSoon Inshaalah
Magari ya kiume, magari ya kazi haya!Nilipopewa ufunguo siku moja nikaambiwa unaona nini katika neno Range Rover nikasema kawaida tu
Akaniambia hizo R tatu ziko size tofauti yaani hazilingani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa aisee!Nilipopewa ufunguo siku moja nikaambiwa unaona nini katika neno Range Rover nikasema kawaida tu
Akaniambia hizo R tatu ziko size tofauti yaani hazilingani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajuaga kwa nn watu wanayapenda haya madudu aisee! Yamekaa kama maroboti!
Old is gold haswaa!Nataka hii halafu niipimp..
Najua wazi nitasumbua sana mjiniView attachment 1064083
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa! Hizi makitu zimesumbua sana enzi za vita kubwa kubwa za dunia!Hii hapa....View attachment 1064107
mkuu uwe una malengo sio ndoto hahah unazinguaHabari!
Siku hizi gari si anasa, ni kitu cha muhimu maishani. Asilimia kubwa tunatamani kumiliki vyuma hivi vya kutembelea. Hebu tupia Usafiri unaotamani kuwa nao maishani.
Natamani sana siku moja nimiliki Mercedes-Benz mf Jurassic model! View attachment 1057494View attachment 1057496View attachment 1057497
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ata ww ila wenzako ndoto wanazo ota hahaha shida aiseeHii hapa....View attachment 1064107
Ukiangalia neno RANGE ROVER iliyoko mbele kwenye bonnet hizo R ziko tofauti kwa ukubwa yaani kila moja ni size tofauti na nyingine
Yaani napenda sana hizi gari kwanza limetulia haswa na muundo wake ni ajab
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii hapa....View attachment 1064107
Comrade....
Gari zako za ajabu ajabu sana kuna ile nyingine ile daaaah huwa nacheka tuComrade....
Naomba niunge mkono hoja