Uzi wa kutupia fonts unazopendelea ukiwa kazini

Uzi wa kutupia fonts unazopendelea ukiwa kazini

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Kama kawaida unapokuwa unaandika au unadesign kitu chochote kama vile website au graphics za aina nyingine kama wallpaper, brochure, poster, logo, vitabu au newsletter nk. basi utakuwa na fonts unazopenda kuzitumia na zinavutia kweli kulingana na kazi unayofanya.

Sasa uzi huu ni wa kutupia fonts uzipendazo na unaweza kuzielezea kidogo ikiwezekana.

Kwa ufupi napenda applegothic kama web font inivutiayo bila kusahau roboto.


Jaribu hii kwenye newsletter: Josefin sans

Kuna fonts kibao kwa wale wazee wa motional graphics msisahau kutupia font nzuri maana sio zote mnatengeneza.

Note:
Tuwe waungwana msitupie Malware hapa au weka link itapendeza zaidi.
 
Documents zangu zote za excel natumia Tahoma.
Documents zote za word natumia Times New Roman
 
Back
Top Bottom