Uzi wa kutupia neno lolote au msemo wowote wa jadi,kitamaduni,kikabila au kiasili hapa na maana yake.

Uzi wa kutupia neno lolote au msemo wowote wa jadi,kitamaduni,kikabila au kiasili hapa na maana yake.

Mbona amna maana yake?
Modo wa rika okeodwa na mma.....moto wa vijana huotwa kinyumenyume

Ngoja niulize maana yake nitarudi maana naonaga wazee wanautumia huu msemo vijana tukifanya mambo ya ajabu
 
Naanza na Mimi hapa;
Umwana atabwigwa,ubwigwa na masomo utukula=maana yake mtoto asiposikia,atasikia na macho yakiwa mekundu au akiwa analia na kutoa machozi baada ya viboko.
Ikimunyi che kilo,ikilo che kimunyi maana yake

Mchana ndo usiku,usiku ndo mchana,hutumika kama kumjibu mchawi aliye kuwangia usiku umemuona alafu asubuhi anakusalimia kwa kukukebehi kama hamjaonana siku kadhaa zilizopita unamjibu

Mazungumzo ya mchawi na Wewe;

Mchawi....kamwene(salamu kama ndo unaonana na mtu kwa Mara ya kwanza)

Wewe......tigilage weuli(weuli-salamu kama umeonana na mtu muda mfupi uliopita)

Mchawi....aaa weuli twiwene kwii

Wewe.......ikimunyi che kilo,ikilo che kimunyi.
 
Back
Top Bottom