Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

ila hii issue ya viatu bhn huwa inaniachaga mdomo wazi.....kuna siku ndani ya mizunguko yangu town nikafika sehemu flani hv nikapark gari akaja njemba moja hivi imevaa viyebo yebo flani hv vinaitwa 'BAJAJI' nusu nirudi ndani ya gari tn
 
Black loafer and white socks style ya Michael Jackson imekuwa maarufu sana Duniani kwa wapenzi wa shoe Fashion.

Mimi ni miongoni mwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…