Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee....hivyo hata kwa fimbo hujanivalisha.Viatu vyangu hivi black loafer nilinunua Johannesburg na soksi zake nyeupe huwa nikivaa najihisi kama Michael Jackson the wacko jacko ana moonwalk kwenye thriller.
Navipenda sana hivi viatu toka moyoni.![]()
Ni Bonge la catalogue hili ndo maana wacko akalipa nafasi ya kuwa identity yake.Aisee....hivyo hata kwa fimbo hujanivalisha.
Hii sio presentable. Red trousers?! Ila hongera umemechisha na zuliaMimi ni janki but huwa navaa kila nguo na kila kiatu kulingana na occasions yenyewe na tell you what huwa naona niko sawa and presentable.
Hebu nicheck!![]()
ninunulie bas niiivae unipende![]()
Napenda mwanaume akivaa hiki kiatu jaman
Ndio dressing code ya party nilikuwa naenda. Nilitaka kuvaa tofauti nikaona isiwe ishu nisije kuwa kama Crazy GK kwenye harusi ya AY.Hii sio presentable. Red trousers?!
Lakuchumpa!
Vaa viatu size yako.
size hiyo imefumit mahala pakeVaa viatu size yako.
napenda sana boots![]()
Hiyo hapooo
Hiki cha kwanza kabisa nakipata wapi