Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Viatu vyangu hivi black loafer nilinunua Johannesburg na soksi zake nyeupe huwa nikivaa najihisi kama Michael Jackson the wacko jacko ana moonwalk kwenye thriller.

Navipenda sana hivi viatu toka moyoni.
11dbc4b814512b339c852d28a09f8552.jpg
Mkuu naomba miwaaa
 
Aisee....hivyo hata kwa fimbo hujanivalisha.
 
Ni Bonge la catalogue hili ndo maana wacko akalipa nafasi ya kuwa identity yake.

Jaribu siku moja you won't regret it. Hii catalogue ina touch flani hivi humble sana and elegant.
 
Mimi ni janki but huwa navaa kila nguo na kila kiatu kulingana na occasions yenyewe na tell you what huwa naona niko sawa and presentable.
 
Hebu nicheck!
36f59603caa4b634cd022d4f190f4a97.jpg
Hii sio presentable. Red trousers?! Ila hongera umemechisha na zulia
 
Back
Top Bottom