Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Zamani kuna raba zilikuwa zinaitwa Nike,Reebok, Cat nk kwa kutaja chache-ukiipigilia na jeans za miaka ile kama Zeezle lazima uonekana mtoto wa kishua !! Siku hizi hakuna vitu vya uhakika kama Miaka hiyo !!
 
Jean unaweza kumficha mtoto mchanga mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…