Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Na ukitaka kumjuaaa mwanaume mstaaarabu angaliaaaa kiatu alichovaaa,unaweza kukuta mwanaume kavaaa kapendezaa balaaa ilaa ukiangaliaaa chini viatu havitizamiki
That's very true indeed. Kiatu na belt. halafu vi match...
 
Hii sio presentable. Red trousers?! Ila hongera umemechisha na zulia[/QUOT
@"RRONDO Umeniwahi nilitaka kusema Jamaa kamatch na carpet kuna rangi nyingine kwa mwanaume kuvaa sijui huwazipoje jaman
 
Kuna Hicho Ngozi Pure Kama Kimepanda Hivi Hicho Ni kiatuu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hivi ndio viatu bwana .
Kama kuna vitu vinaelezea personality ya mwanaume ni Kiatu ,Saa,Mkanda pamoja na wallet.Wanaume makini na wenye haiba ya mwonekano mzuri huzingatia sana hivi vitu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…