Hii ndo mikato ya wanaume bana,so mwanaume unavaa kiatu kinawaka waka utafkiri taa za kitchen party..Mikato yangu
a.k.a choma kumoyochukua hicho hapo
Duuuh nikiona buti kama hili nakumbuka mbali sana
Zakishambaa
Nzur babaaaDuuuh nikiona buti kama hili nakumbuka mbali sana
Nimezitumia sana miaka hiyo nafanyia kazi kiwanda fulaniNzur babaaa
HahaaaaNimezitumia sana miaka hiyo nafanyia kazi kiwanda fulani
Mkuu nitazipata wapi kwa sasa hizo butiHahaaaa
Zakishambaa
Mhhh yUtakua na wivu sana wewe
Mhhh y
UnauhakikaMashavu yko tells everything
Unauhakika
Sina wivu bas mana hamna wakumfanyia humuuNdio
Sina wivu bas mana hamna wakumfanyia humuu
hivi unauza boss ama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Forex ilianza hivi hivi..
mwishoni tu usije tuambia unauza hivyo viatu