Hamna mkuu...jiachie tuMkuu mie toka uniambie watasema najiona nikua mbali na huu uzi
Hio simple sneaker boss...ile Supra yako ins-shout sanaSasa wewe unavaa hivi halafu unasema mimi navaa Supra!
Rrondo unazingua bwanaa! Hahahahah!
Amina mkuuAsante mkuu, nakuombea mafanikio kwenye biashara yako.
Ichi cha kwenda kusaka chatu
Aiseee hiki wafanyakazi wa tanesco tuko pamojaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ndo maana navipenda hasa zile sebago ambazo hazina kamba... huchelewi safari zakoHivi viatu unavaa na suruali ya aina yoyote na shati lolote
Hili dundo litakuwa la masoja hili..
kiatu gani hichi? wanavaa wananii na wananiii... sio sisi.Nimeumiss huu uzii wajamenView attachment 798822