MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Wewe ukisema unaweka kiatu najua utakachoweka.
Hahaha Rrondo bwana,
Mimi niko Dynamic Sana sanaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ukisema unaweka kiatu najua utakachoweka.
Ila design hio unaipenda sana.Hahaha Rrondo bwana,
Mimi niko Dynamic Sana sanaa!
Hahahaha.....!!!!Ila design hio unaipenda sana.
Safari ndizo zinafanya nivae hivyo viatu...Ila design hio unaipenda sana.
Unapendeza sanaaa hongera.Weekend..View attachment 712149
Hivi hata kwa fimbo sivai!
Hahahahaha,Hivi hata kwa fimbo sivai!
Hapa sawaaaaa...!
Weekend..View attachment 712149
Mkuu mie toka uniambie watasema najiona nikua mbali na huu uziWewe ukisema unaweka kiatu najua utakachoweka.
Mkuu mie toka uniambie watasema najiona nikua mbali na huu uzi
Humu kuna watu wanaweza kukupanikisha tuMkuu usiishi kwa kuogopa mtu yoyote hapa duniani.
Hakuna anayeweza kukupanikisha zaidi yako wewe mwenyewe!Humu kuna watu wanaweza kukupanikisha tu
Ndyo niko na duka mkuu karibuUna duka?
Asante mkuu, nakuombea mafanikio kwenye biashara yako.Ndyo niko na duka mkuu karibu