Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Ila design hio unaipenda sana.
Safari ndizo zinafanya nivae hivyo viatu...
Lakini zamani wakati nafanya vikao kibao nilikuwa kama hivi.
Mokaz.jpg
 
Humu kuna watu wanaweza kukupanikisha tu
Hakuna anayeweza kukupanikisha zaidi yako wewe mwenyewe!
Elewa kwamba hapa duniani kamwe hatuwezi kuwa sawa kimtazamo hata siku moja.
Mtu asipopenda wewe unachokifanya wewe unaogopa nini wakati hata mlo wako hachangii ???

NB: Kama hutukani wala kuvunja sheria unaogopa watu kwanini ??
Wakichukia wewe kisa kuweka viatu vizuri basi wanywe sumu wafe au wasisome huu uzi!
 
Back
Top Bottom