mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,725
- 2,703
Kiatu kizuri sana
Utakuwa kasukuma wewe..!
Napenda mwanaume akivaa hiki kiatu jaman
Dsm hatuvai hizo takataka kwa wasukuma huko na dodomaFamba hizo wanavaa wanaume wa dar
Mkuu natafuta hii kiatu ya mtumba naipata wapi braza!! Mwaka wa 3 sasa.
Unauza na bumunda best?Mm nauzaaa
Wewe nimeona unashabikia famba za wasukuma, sitaki vya china nataka mtumba ipo iwe safi na sorry yake iwe imara 50kMm nauzaaa
Utakuwa binti wa buchosa wewe[emoji3][emoji3]Hhahahah kweli mm mdogo wake jiwe
Unaulizwa kitumbua/papuchiBumunda tena best sijaelewa?
Ngoja niuchune nisije kupigwa "surhati zubaa" na mganga wako nikazubaa miaka dahari. [emoji23] [emoji23]Bumunda tena best sijaelewa?
Kamuuzie mlacha kwanza...!Hahahahahha aiseeeh huamini