[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnyamwezi usinitoe kwenye reliii unataka kuniambia unashindana na mzee wa tunguliii nione nan mshindiiiUskonde utalala na Mimi mnyamwezi....hivi kwanza yule mganga anajua kupiga deki kule kusini kweli? Bondeni kule? I wanna make you Happy and less paranoid.
Usijali yale mapicha utayazoea tu! Mbona matunguli hukonayo comfortable tu.
Binadamu siku hizi tumekuwa kizazi jeuri sana. Kama kiranga ameanza ufedhuli wa kumtunishia misuli Mungu... Inakuwaje mimi nimnyali mganga wa kienyeji? Nahaminia na this time nachukua Mchuchu wake demiss.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnyamwezi usinitoe kwenye reliii unataka kuniambia unashindana na mzee wa tunguliii nione nan mshindiii
Nitafanya hivyo ASAPHahahaha usijali uje ukifateee makao makuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana muda siyo mrefu utakuwa mkubwaaaaMambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 799131
View attachment 799132
View attachment 799133
View attachment 799136
Nikiwa mkubwa nitanunua tu.
Ewaaa... mwendo wa RaizoniEnzi zenu hahahhahaha loooh
Umependeza sanaaaa[emoji123] View attachment 799215